Tulikosa umakini - Bocco

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Mar 2020
Tulikosa umakini - Bocco

Nahodha wa Simba John Bocco amesema kukosekana kwa umakini kwenye mchezo dhidi ya Yanga jana, kumepelekea wakapoteza mchezo huo kwa kufungwa bao 1-0

Akizungumza baada ya mchezo jana, Bocco alisema walitengeneza nafasi nyingi lakini walishindwa kuzitumia

Amesema anatambua kuwa matokeo hayo yamewaumiza mashabiki lakini hata wao wachezaji ni matokeo ambayo hawakuyatarajia

"Haikuwa kazi nyepesi kwani tulipambana kupata matokeo mambo yakawa magumu kwetu, wapinzani wetu walikuwa vizuri na walitumia nafasi moja waliyoipata tofauti na sisi tulishindwa kuwa makini kuzitumia nafasi tulizozipata.

"Tunajua hali ya mashabiki ilivyo hata sisi pia hatujapenda kupata matokeo haya ila tunawaomba waendelee kutupa sapoti kwani mechi bado zipo nyingi tutafanya vizuri," amesema

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’