FT : Yanga 1-0 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Mar 2020
FT : Yanga 1-0 Simba

Mchezo umemalizika uwanja wa Taifa kwa Simba kupoteza mchezo wa tatu baada ya kufungwa bao 1-0 na watani zao wa jadi Yanga

Ulikuwa mchezo ambao Simba ilitawala kwa muda mwingi lakini Yanga walitumia vyema nafasi waliyopata kupitia mpira wa adhabu uliowekwa kimiani na Bernard Morrison

Ni matokeo ambayo hakuna Mwana Simba ambaye alikuwa akiyatarajia, lakini wakati mwingine ndivyo mpira wa miguu ulivyo

Hii ni mara ya kwanza Yanga inapata ushindi dhidi ya Simba katika kipindi cha miaka mitano

Baada ya mchezo huu hesabu za Simba sasa zinabaki kwenye ubingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’