Hii ni fursa kwa mashabiki wa Simba ambao bado hawajajipatia kadi za mashabiki wa klabu hiyo
Leo huduma itapatikana getini kwa mashabiki watakaokuwa wakiingia uwanjani kushuhudia mtanange wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa kuanzia saa 11 jioni
Muhimu uwe na kitambulisho cha Taifa au Namba ya Nida au Kitambulisho cha mpiga kura

ADVERTISE HERE