Senzo na familia yake mapema tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Mar 2020
Senzo na familia yake mapema tu

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Senzo Mazingisa leo atakuwepo pale Taifa mishale ya saa 11 jioni kuwashuhudia vijana wake wakiwaadhibu vikali watani na wapinzani wao wa kihistoria Yanga

Senzo raia wa Afrika Kusini amesema atakuwepo uwanjani mapema tu akiwa na familia yake kutoka kwao Bondeni wakija kushuhudia mchezo huo mbashara

"Hii ndio siku tuliyokuwa tukiisubiri..kwa upande wangu na familia yangu, tumependeza tayari kuiunga mkono timu yetu ya Simba Sc," maneno ya bosi huyo wa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’