Okwi aongeza nguvu Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jan 2018
Okwi aongeza nguvu Simba
Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao ligi kuu ya Vodacom, Emanuel Okwi amepona majeraha yake na upo uwezekano atakuwemo kwenye kikosi kitakachoivaa Singida United Alhamisi.

Jana Okwi alitarajiwa kujiunga na kikosi cha Simba kilichoweka kambi mkoani Morogoro.

Kurejea kwa Okwi kumeongeza nguvu kwenye kikosi cha Simba ambacho kinakabiliwa na mchezo mgumu dhidi ya Singida United iliyo katika kiwango bora.

Aidha kiungo Haruna Niyonzima bado ni majeruhi na hataweza kucheza mchezo huo utakaopigwa Januari 18.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’