Kagere afukuzia rekodi ya kina Kichuya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Mar 2020
Kagere afukuzia rekodi ya kina Kichuya

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Meddie Kagere anafukuzia rekodi ya kufunga kwenye mechi tatu mfululizo za watani wa jadi

Kagere aliyetua Simba mwaka juzi akitokea klabu ya Gor Mahia, msimu uliipita aliitunga Yanga kwenye mchezo wa raundi ya pili ligi kuu ya Vodacom

Alifunga bao pekee kwenye mchezo huo uliomalizika kwa Simba kushinda bao 1-0

Lakini pia kwenye mchezo wa Januari 04, Kagere alifunga bao la kwanza la Simba kabla ya Deo Kanda kuongeza la pili katika mchezo huo ambao ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2

Nyota huyo raia wa Rwanda achohitaji kufanya siku ya Jumapili ni kufunga tena ili kuingia kwenye vitabo vya kumbukumbu akiungana na kina Shiza Kichuya, Kitwana Manara, Madaraka Selemani na Amissi Tambwe

Lakini pia mwamba huyo anayeongoza kwa mabao msimu huu, ana nafasi kuifukuzia rekodi ya mkongwe Abdallah Kibaden ambaye ni mchezaji pekee aliyefunga hat-trik katika mchezo kati ya Simba na Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’