Simba iko kwenye mazungumzo na kocha wa zamani wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Etoile du Sahel ya Tunisia, Mfaransa, Hubert Velud.
Hubert amewasili jana kwa mwaliko wa Bosi wa Simba Mohammed Dewji.
Velud pia aliwahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Togo.
Kocha huyo ana uzoefu wa kufundisha timu nyingi kama Chalons-sur-Marne, Gap, Paris FC, Gazelec Ajaccio, Clermont, Cherbourg, Creteil, Toulon na Beauvais.
Ameshinda katika Ligue 1 ya Algeria mwaka 2013 akiwa ES Setif, 2014 akiwa na USM Alger na Super Cup ya Algeria mwaka 2013 akiwa na USM Alger.
Velud anatarajiwa kuchukua mikoba iliyoachwa na Joseph Omog kama kocha Mkuu huku Masudi DJuma akitarajiwa kuendelea na kibarua chake cha kocha msaidizi

ADVERTISE HERE