Azim Dewji atoa ofa ya tiketi 300

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Mar 2020
Azim Dewji atoa ofa ya tiketi 300

Mfadhili wa zamani wa klabu ya Simba Azim Dewji ametoa ofa ya tiketi 300 kwa mashabiki wa klabu zote mbili yaani Simba na Yanga ambao watajitokeza kwenye zoezi la uchangiaji wa damu MOI, Muhimbili jijini Dar es salaam

Zoezi hilo linafanyika leo Ijumaa na kesho Jumamosi kuanzia asubuhi

Lengo la zoezi hilo ni kuongeza damu kwenye benki ya damu ya Hospitali ya Muhimbili ili kuokoa maisha ya majeruhi wa ajali

Hivi karibuni Azim alipata ajali na kupelekea kulazwa katika Hospitali hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’