Leo klabu ya Simba itazindua matumizi ya kadi za mashabiki wa klabu hiyo katika hafla ambayo itafanyika Serena Hotel
Miongoni mwa watakaotumbuiza kwenye hafla hiyo ni Mwanamuziki gwiji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Koffi Olomide
Ni kuanzia saa 12 jioni ya leo mpaka saa 2 usiku
ADVERTISE HERE