Mo amkaribisha Rais wa CAF, amuahidi burudani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Mar 2020
Mo amkaribisha Rais wa CAF, amuahidi burudani

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amemkaribisha Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad ambaye atakuwa nchini kwa ziara ya siku tatu

Ahmad anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili, March 08

Mo amemuahidi burudani ya kandanda safi kutoka kwa mabingwa hao wa nchi

"Asante Rais Ahmad kwa kuitikia wito wetu kuja Tanzania uone maendeleo ya mpira nchini na kuwa mgeni rasmi kwenye DarDerby jumapili hii"

"Simba tumejipanga kukupa mapokezi ya kipekee utakapofika nchini"

"Tunatarajia kukuona hivi karibuni Mhe. Rais! Wanasimba, tujitokeze kwa wengi tumuonyeshe Rais wetu namna tunaipenda timu yetu kwa kushangilia kwa nguvu muda wote wa mchezo," ameandika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’