Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limethibitisha kuwa Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), Ahmad Ahmad atashuhudia mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili March 08 kwenye uwanja wa Taifa
Taarifa ya TFF imesema kuwa Ahmad anatarajiwa kuwa nchini kwa ziara ya siku tatu

ADVERTISE HERE