Kagere afukuzia rekodi ya msimu uliopita

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Mar 2020
Kagere afukuzia rekodi ya msimu uliopita

Bao alilofunga kwenye mchezo dhidi ya Azam Fc jana, limemfanya mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere aendelee kujiimarisha kileleni katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu

Kagere amefikisha mabao 15 akiwa mbele kwa mabao manne dhidi ya Yusuf Mhilu wa Kagera Sugar mwenye mabao 11

Msimu uliopita Kagere alifunga mabao 23, mpaka sasa anahitaji kufunga mabao mengine nane kuifikia rekodi hiyo iliyompa kiatu cha dhahabu mwaka jana

Simba ina michezo 12 ya kumaliza msimu, Kagere anayo nafasi ya kufikia rekodi hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’