Ijumaa ya wiki hii klabu ya Simba kwa kushirikiana na Dar es Salaam Serena Hotel, watafanya uzinduzi wa matumizi ya kadi za mashabiki kwenye hoteli hiyo ambao utawezesha mashabiki wenye kadi kupata punguzo kwenye 'HAPPY HOUR'
Kama bado hujapata kadi yako basi muda ni sasa
Tembelea matawi ya benki ya Equity ili upate kadi ambayo itakuwezesha Ijumaa ya wiki hii uwe sehemu ya Wanasimba ambao watakuwa Serena Hotel katika Happy Hour kufurahia punguzo maalumu
Punguzo ni kwa wenye kadi tu
ADVERTISE HERE