Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesitisha kwa muda utaratibu wa wachezaji kusalimiana kwa kupeana mkono kabla ya mechi kuanza ikiwa ni tahadhari kuepuka maambukizi ya virusi vya Corona

ADVERTISE HERE