Dozi ya Azam Fc imeiva

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Mar 2020
Dozi ya Azam Fc imeiva

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kinaendelea na mazoezi uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa kesho Jumatano

Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC juzi, Simba ilirejea mazoezi jana kujiwinda na mchezo huo

Hesabu kali za Simba ni kuhakikisha inaondoka na alama zote tatu kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali

Msimu huu Simba imepata matokeo mazuri dhidi ya Azam Fc, ikishinda michezo miwili iliyozikutanisha timu hizo

Ilianza kwa ushindi wa mabao 4-2 mchezo wa Ngao ya jamii kisha kushinda bao 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wa ligi

Mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck amesema wanatarajia kupata upinzani mkali kutoka kwa Azam Fc kwani ni moja ya timu bora kwenye ligi

Lakini amesisitiza kuwa malengo yao ni kushinda mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’