Mchezo wa pili wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba utapigwa Jumapili ijayo, March 08 kwenye uwanja wa Taifa
TFF kwa kushirikiana na Yanga ambao ndio wenyeji wa mchezo huo wameweka hadharani viingilio
VIP A - TSh 20,000/-
VIP B na C - Tsh 15,000/-
Viti rangi ya machungwa - Tsh 10,000/-
Viti rangi ya Blue/Kijani - Tsh 7,000/-

Mchezo utapigwa kuanzia saa 11 jioni
ADVERTISE HERE