Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC, leo kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba asubuhi kimefanya mazoezi mepesi kuweka miili sawa baada ya mchezo huo uliopigwa jana usiku uwanja wa Taifa
Simba inaendelea na maandalizi kuelekea mchezo unaofuata dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa keshokutwa Jumatano kwenye uwanja wa Taifa









ADVERTISE HERE