Azam FC yahifadhi taji la Mapinduzi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jan 2018
Azam FC yahifadhi taji la Mapinduzi
Azam FC imefanikiwa kuhifadhi taji la Mapinduzi kwa msimu wa pili mfululizo baada ya kuichapa URA kwa mikwaju 4-3 ya penati baada ya suluhu ya bila kufungana.

Kipa wa Azam Razak Abalora alifanikiwa kuzuia mikwaju miwili ya URA.

Azam FC ingeweza kuondoka na ushindi kwenye muda wa kawaida kama ingezitumia nafasi zake ilizotengeneza kwenye mcheoz huo.

Hongera Azam FC kwa kuilinda heshima ya Tanzania kwa kuhakikisha taji hilo linabaki nchini Tanzania.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’