FT : Simba 2-0 KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Mar 2020
FT : Simba 2-0 KMC

Mabingwa wa nchi Simba wameendeleza ubabe wao kwenye ligi kuu ya Vodacom baada ya kuichapa KMC mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa usiku wa leo Jumapili

Hakuwa mwingine aliyepeleka furaha Msimbazi, Luis Miquissone nyota aliyetua usajili wa dirisha dogo akitokea huko UD Songo, Msumbiji

Baada ya KMC kukaza kwa takribani dakika 70, Miquissone alihitaji dakika mbili tu kufunga mabao mawili ambayo yamezidi kuisogeza Simba karibu na ubingwa

Nyota huyo raia wa Msumbuji ndio habari ya mjini kwa sasa akiwa ameifungia Simba mabao matatu katika michezo miwili ya ligi iliyopita

Moto anaoendelea kuuwasha ni habari mbaya kwa wapinzani hasa Yanga ambayo huenda wakakumbana nae March 08

Simba imefikisha alama 65, alama 17 zaidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’