Simba vs KMC, burudani inaendelea uwanja wa Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Mar 2020
Simba vs KMC, burudani inaendelea uwanja wa Taifa

Mabingwa wa nchi Simba baadae leo Jumapili watashuka kwenye uwanja wa Taifa kumenyana na KMC katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Vinara hao wa ligi watakuwa na nafasi ya kuendelea kuchanja mbuga kuelekea ubingwa wa tatu mfululizo kama wataibuka na ushindi leo

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amejiwekea malengo ya kushinda michezo minne inayofuata kabla ya ligi kusimama kupisha michuano ya CHAN

Simba iko kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa imejikusanyia alama 62, alama 14 zaidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili

Sven amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kushuhudia burudani kutoka kwa mabingwa hao watetezi

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’