Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimeendelea na mazoezi uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Taifa, saa mbili usiku







ADVERTISE HERE