St Pauli kutoka Ujerumani yawasili, ni wageni wa Simba Queens

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Feb 2020
St Pauli kutoka Ujerumani yawasili, ni wageni wa Simba Queens

Mwishoni mwa mwaka jana, timu ya kinadada Simba Queens ilifanya ziara kutembelea nchini Ujerumani ambapo pamoja na kufanya mambo mengine ya kijamii, walipata nafasi ya kucheza mechi kadhaa za kirafiki

Sasa klabu ya St Pauli ambao walikuwa wenyeji wao, nao wamekuja nchini kwa ajili ya ziara kama ile

St Pauli itakuwa nchini kwa takribani siku 15

Simba Queens tayari wamewapokea wageni wao hao lengo likiwa kuimarisha ushirikiano ulioanzishwa baina ya timu hizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’