Simba yatimkia Morogoro

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jan 2018
Simba yatimkia Morogoro
Kikosi cha Simba kimeondoka mapema leo kuelekea mkoani Morogoro kuweka kambi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 13 dhidi ya Singida United.

Mchezo huo utapigwa Alhamisi ijayo, Januari 18 kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es salaam.

Kulingana na Meneja wa Simba, Wachezaji na benchi la ufundi watakuwa mkoani Morogoro kwa takribani siku nne kabla ya kurejea Dar kuivaa Singida United.

Simba iko kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Vodacom ikiwa na alama 26 sawa na Azam FC lakini Simba ikiwa na mabao mengi.

Singida United iko nafasi ya tatu ikiwa na alama 23
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’