Mchezo dhidi ya KMC kupigwa saa mbili usiku

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Feb 2020
Mchezo dhidi ya KMC kupigwa saa mbili usiku

Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Simba dhidi ya KMC ambao utapigwa Jumapili, March Mosi, utapigwa uwanja wa Taifa kuanzia saa mbili usiku

Awali mchezo huo ulipangwa kupigwa siku hiyohiyo lakini saa kumi kamili jioni

Mabadiliko hayo yametokana na kuwepo kwa mchezo wa kinadada wa timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Uganda umri chini ya miaka 17

Mchezo huo ni wa kusaka nafasi ya kutinga fainali za kombe la dunia

Leo Simba imeendelea kujifua katika uwanja wake wa Mo Simba Arena

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’