Dilunga amtetea Kagere kukosa penati

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Feb 2020
Dilunga amtetea Kagere kukosa penati

Kiungo mshambuliaji wa Simba Hassan Dilunga amesema kuwa kukosa penalti kwa mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere ni sehemu ya mchezo

Amewataka mashabiki wa Simba wasimhukumu kwani amekuwa akifunga penati ambazo amepiga. Anaamini atajifunza na kurejea kwenye ubora wake

Kagere mwenye mabao 14 kwenye Ligi Kuu Bara, ndani ya mwezi Februari amekosa penalti mbili ambazo zilipanguliwa na makipa alianza mbele ya Biashara United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wakati Simba ikishinda mabao 3-1 na mchezo wa pili ulikuwa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Stand United wakati Smba ikitinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa penalti 3-2 penalti yake ilipanguliwa.

"Kila kitu kina sababu hivyo kwa Kagere kukosa penalti sio jambo la ajabu, penalti hazina mwenyewe ila kwa kuwa amekosa atajifunza na atarejea kwenye ubora wake," amesema.

Dilunga aliibuka shujaa wa Simba kwenye mchezo huo akifunga mikwaju miwili ya penati

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’