Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Simba ambao ni mabingwa watetezi, walirejea jana kutoka mkoani Shinyanga ambako walifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la FA
Leo kikosi kinaendelea na mazoezi uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa ligi kuu unaofuata
Mchezo huo ni dhidi ya KMC na utapigwa Jumapili March 01, kwenye uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE