Kadi za mashabiki kuzinduliwa Mwanza leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Feb 2020
Kadi za mashabiki kuzinduliwa Mwanza leo

Uongozi wa klabu ya Simba tayari uko mkoani Mwanza kwa ajili ya tukio la uzinduzi wa kadi za Wanachama

Baada ya ushindi wa kombe la FA mkoani Shinyanga dhidi ya Stand United, Simba ilirejea jijini Mwanza tayari kwa zoezi hilo

Mgeni rasmi wa tukio hilo atakuwa Mbunge wa Nyamagana Mh Stansilaus Mabula

Baadae Afisa Habari wa Simba Haji Manara atazungumza na Waandishi wa habari jijini Mwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’