Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limekanusha taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii inayodai kuwa nyota wa klabu ya Simba Meddie Kagere na Paschal Wawa wameadhibiwa na TFF kutokana na makosa mbalimbali
Taarifa ya TFF iliyotolewa mapema leo, imekanusha na kusisitiza habari hiyo ni ya uongo, ipuuzwe

ADVERTISE HERE