Kadi za mashabiki kuzinduliwa Mwanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Feb 2020
Kadi za mashabiki kuzinduliwa Mwanza

Uongozi wa klabu ya Simba unaendelea na zoezi la kuzindua na kutambulisha kadi za mashabiki wa klabu hiyo mikoani

Baada ya kufanya zoezi hilo mikoa ya Dodoma na Morogoro, kesho itakuwa zamu ya mashabiki wa Simba mkoani Mwanza

Uongozi wa Simba umewataka mashabiki wa Simba wa jijini Mwanza kujitokeza kwa wingi tawi la Benki ya Equity lililokaribu na Mwanza Hotel kujipatia kadi zao

"Kesho tunafanya uzinduzi wa Kadi ya Mashabiki jijini Mwanza. Wanasimba tujitokeze kwenye benki ya Equity iliyopo karibu na Mwanza hotel kuanzia saa 2:30 asubuhi tujipatie kadi zetu,"imesema taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’