Simba kuwasha moto Shinyanga dhidi ya Stand United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Feb 2020
Simba kuwasha moto Shinyanga dhidi ya Stand United

Mabingwa wa nchi Simba wako mkoani Shinyanga ambapo leo watashuka kwenye uwanja wa CCM Kambarage kuikabili Stand United kwenye mchezo wa hatua 16 bora kombe la FA

Baada ya ushindi dhidi ya Biashara United, Simba ilisafiri kuelekea mkoani Mwanza ambako iliweka kambi ya muda mfupi kabla ya kuelekea Shinyanga jana

Vinara hao wa ligi kuu walipata nafasi ya kufanya mazoezi ya mwisho jana kuelekea mchezo huo

Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck amesema wamefanya maandalizi ya kutosha na lengo lao ni moja tu, kushinda mchezo huo

Amewataka mashabiki wa Simba mkoani Shinyanga wajitokeze kwa wingi kushuhudia kandanda safi kutoka kwa 'machampioni' wa nchi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’