Simba iko tayari kuikabili Stand United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Feb 2020
Simba iko tayari kuikabili Stand United

Mabingwa wa nchi Simba wako mkoani Shinyanga wakisubiri kuwakabili Stand United kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam ambao utapigwa kesho Jumanne kwenye uwanja wa CCM Kambarage

Simba leo imefanya maandalizi yake ya mwisho mkoani Shinyanga kuelekea mchezo huo

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wamedhamiria kushinda mchezo huo ili waweze kutinga robo fainali

Simba imejipamba kutwaa mataji yote mawili, Ligi Kuu na FA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’