Simba kuifuata Stand United leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Feb 2020
Simba kuifuata Stand United leo

Mabingwa wa nchi Simba watakamilisha maandalizi yao ya mwisho leo kuelekea mchezo wa kombe la Azam (ASFC) dhidi ya Stand United ambao utapigwa kesho Jumanne kwenye uwanja wa CCM Kambarage

Simba iliweka kambi ya muda mfupi jijini Mwanza kujifua tayari kwa mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka mkoani Shinyanga na maeneo ya jirani

Vinara hao wa ligi kuu wataondoka leo Mwanza kuelekea Shinyanga

Jioni watafanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa CCM Kambarage ambao utatumika hapo kesho

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’