Kiwango kinachoonyeshwa na kiungo mshambuliaji Luis Miquissone kimeendelea kuwachanganya mashabiki wa Simba ambao furaha yao imerejea baada ya timu kurejea kwenye makali yake
Jana baada ya mchezo dhidi ya Biashara United, mashabiki wengi walitamani japo kumpa mkono Miquissone huku wengine wakitangaza rasmi kuwa yeye ndiye Messi wa Bongo
"Hakuna ubishi huyu jamaa ni hatari... Yani anavyotumia mguu wake wa kushoto ni kama Lione Messi wa Barcelona. Huyu jamaa sisi tutamwita Messi wa bongo," alisikika shabiki mmoja
Miquissone amekuwa bora kwenye mechi mbili zilizopita akionyesha uwezo mkubwa
Jana alifunga bao lake la kwanza ligi kuu ya Tanzania lakini pia akatoa asisti moja kwa bao la Meddie Kagere
March 08 kuna watu maji wataita 'mma'....!
ADVERTISE HERE