Hatuna tambo kuelekea mechi dhidi ya Yanga - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Feb 2020
Hatuna tambo kuelekea mechi dhidi ya Yanga - Manara

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema mchezo wa pili dhidi ya Yanga ambao utapigwa March 08 kwenye uwanja wa Taifa, wanausubiri kwa utaratibu tofauti

Wakati Yanga wakianza tambo mapema, Manara amewataka mashabiki wa Simba watulie wasiseme chochote kwani tamu/chungu itafahamika siku hiyo

"Sisi tumefunga midomo yetu, hatusemi kitu hadi baada ya dakika 90 za mchezo huo ndio tutaongea. Nawataka mashabiki wasisumbuke nao, waacheni watambe lakini sisi tutazungumza March 08 baada ya mchezo," amesema Manara

Mchezo wa kwanza uliopigwa Januari 04 ulimalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2

Ni matokeo hayo yanayowafanya mashabiki wa Yanga watambe mtaani kwani ni miaka mingi imepita kwa Yanga kupata ushindi mbele ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’