Simba dimbani leo dhidi ya Biashara United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Feb 2020
Simba dimbani leo dhidi ya Biashara United

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba baadae leo watashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Biashara United ukiwa ni mchezo wa ligi kuu

Vinara hao wa ligi watakuwa na nafasi ya kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi sasa wakiwa na alama 59

Simba ilikamilisha maandalizi yake ya mwisho jana mazoezi yaliyofanyika kwenye uwanja wake wa Mo Simba Arena

Ni siku nyingine tena kwa mashabiki wa Simba kupata burudani kutoka kwa nyota wao wakiongozwa na Luis Miquissone ambaye aliwapa furaha mashabiki katika mchezo uliopota dhidi ya Kagera Sugar

Mchezo utapigwa saa moja usiku

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
25m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’