Simba yaja na mkakati wa kulinda vipaji vyake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Feb 2020
Simba yaja na mkakati wa kulinda vipaji vyake

Klabu ya Simba imejipambanua kwa kuwa na mfumo mzuri wa kulea vijana wenye vipaji

Kwa miaka ya hivi karibuni Simba imetoa idadi kubwa ya wachezaji ambao wanacheza vilabu mbalimbali

Lakini pia, Simba imekuwa ikinufaika kwa kiasi kidogo sana na vijana hao wanao walea wenyewe

Nyota kama Ibrahim Ajib, Miraji Athumani, Said Khamis Ndemla na Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' ni baadhi ya wachezaji waliolelewa na Simba

Mchakato wa kujenga Academy rasmi ya klabu ya Simba uko mbioni

Academy hiyo itaendeleza jukumu la kulea watoto wenye vipaji lakini sasa mabingwa hao wa nchi watanufaika zaidi pale wachezaji hao watakapo nunuliwa na timu nyingine

Utaratibu uliopo sasa wachezaji wengi wa timu ya vijana wanaondoka kiholela bila ya klabu kunufaika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’