Simba kamili kuikabili Biashara United Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Feb 2020
Simba kamili kuikabili Biashara United Jumamosi

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema kikosi chao kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United

Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa kuanzia saa moja usiku

Rweyemamu amesema wachezaji wote wako katika hali nzuri kuelekea mchezo huo wakibaki na majeruhi mmoja tu Miraji Athumani

"Tumeendelea kujiandaa na mchezo dhidi ya Biashara United. Tunashukuru hatuna majeruhi wapya, jana tumempokea Mzamiru Yassin kutoka majeruhi. Ni mchezaji mmoja tu aliyebaki majeruhi, Miraji"

"Tunakwenda kucheza na Biashara United kwenye mchezo ambao tunafahamu hautakuwa mwepesi lakini tumejipanga kuondoka na ushindi," amesema

Simba ndio vinara wa ligi ikiwa imejikusanyia alama 59 baada ya kushuka dimbani mara 23

Ushindi katika mchezo huo utawafanya wazidi kuukaribia ubingwa wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’