Kiungo Mzamiru Yassin amerejea kikosini Simba baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakimsumbua
Mzamiru alipata majeraha kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliopigwa Januari 04 uwanja wa Taifa
Kiungo huyo kiraka amekuwa nje ya dimba kwa zaidi ya wiki sita
ADVERTISE HERE