Simba kuendeleza burudani uwanja wa Taifa Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Feb 2020
Simba kuendeleza burudani uwanja wa Taifa Jumamosi

Baada ya kushinda mechi tatu zilizopita, keshokutwa Jumamosi mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wanarejea uwanja wa Taifa kuikaribisha Biashara United

Mchezo huo wa raundi ya 24 ligi kuu ya Vodacom, umepangwa kupigwa saa moja usiku

Simba inaongoza ligi ikiwa na alama 59, tofauti ya alama 14 dhidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili

Ushindi katika mchezo huo utazidi kuwasogeza karibu na ubingwa wa tatu mfululizo

Simba wataingia kwenye mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya kushinda mabao 2-0 kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa Musoma

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’