Kapombe amerudi kwenye ubora wake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Feb 2020
Kapombe amerudi kwenye ubora wake

Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe amerejea kwenye ubora wake baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje kwa muda mrefu

Hata hivyo benchi la ufundi limekuwa likimtumia kwa tahadhari ili kumlinda na kuhakikisha hatoneshi majeraha kabla hayajapona sawasawa

Mara nyingi anapokuwa kwenye kikosi cha kwanza, uhakika wa burudani na matokeo mazuri kwa Simba unakuwa ni mkubwa

Yeye pamoja na Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' wamedhihirisha kuwa wanastahili kuwa chaguo la kwanza

Kutokana na kiwango ambacho ameendelea kuonyesha, inaelezwa kocha mkuu wa timu ya Taifa Etienne Ndayiragije anafanya jitihada kumshawishi afute uamuzi wake wa kustaafu kuchezea timu ya Taifa ili amjumuishe kwenye kikosi cha Stars kitakachoshiriki michuano ya CHAN mwezi April

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’