Michezo ya mzunguuko wa tano kombe la FA (ASFC) imepangwa kupigwa Februari 25 na Februari 26
Mabingwa wa nchi Simba wao watasafiri mkoani Shinyanga kuikabili Stand United katika mcheo ambao utapigwa saa 10 jioni uwanja wa CCM Kambarage
Timu 16 zitashiriki hatua hii ambapo washindi watatinga hatua ya robo fainali
Mwaka huu Simba imeweka kipaumbele kwenye michuano hii ambapo vinara hao wa ligi kuu wamepania 'kusepa' na kombe
Ratiba ya michezo yote

ADVERTISE HERE