Simba yamsaka huyu 'dogo'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Feb 2020
Simba yamsaka huyu 'dogo'

Afisa Habari wa Simba Haji Manara ametaka kupatiwa taarifa alipo bwana mdogo (pichani juu) aliyeandika jina la winga Deo Kanda katika fulana yake

Simba imeahidi kumpatia jezi mpya dogo huyo ambaye ameonyesha kumhusudu Kanda

"Naomba mnipe connection ya kumpata huyu Mtoto, Simba itampatia jezi full ya Shujaa wake Deo kanda,,kwetu Mtoto kama huyu ana thamani kubwa katika mradi wetu endelevu wa kujenga brand ya Simba," amesema Manara

Simba imejiwekea utaratibu wa kuwatambua baadhi ya mashabiki wake ambao wanafanya matukio ya kipekee katika kuiunga mkono timu au wachezaji wake

Mtoto maarufu Rackeem Kagere kutoka mkoani Tanga ni miongoni mwa walionufaika na utaratibu huo wa Simba

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’