Soka ni mchezo wa furaha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Feb 2020
Soka ni mchezo wa furaha

Misimu michache iliyopita nahodha wa Kagera Sugar Juma Nyoso wakati huo akiwa Mbeya City aliingia matatani kwa kufungiwa miaka miwili na TFF baada ya kumfanyia tukio lisilo la kiungwana John Bocco wakati huo akiwa mchezaji wa Azam Fc

Jana Nyoso alikutana na Bocco ambaye sasa ni nahodha wa Simba kwenye mchezo baina ya timu hizo uliopigwa uwanja wa Taifa

Wawili hao walikuwa na mchezo mzuri ambapo mara kadhaa walionekana kubadilishana mawazo na kuna wakati Nyoso alimuinua Bocco aliyekuwa amekaa chini

Huo ndio uungwana unaotakiwa kwenye mpira wa miguu(picha kwa hisani ya BoiPlus)

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’