Sven apagawa na kiwango cha wachezaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Feb 2020
Sven apagawa na kiwango cha wachezaji Simba

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesifu kiwango kinachoonyeshwa na wachezaji wake katika mechi za ligi kuu ya Tanzania Bara

Simba iko kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa imejikusanyia alama 59. Waliongeza alama tatu jana kwa kuichapa Kagera Sugar bao 1-0

Sven amesema vijana wake wameonyesha ubora katika michezo yote mitatu iliyopita, watahitaji kuendeleza moto huo mpaka mwishoni mwa msimu

Hata hivyo Mbelgiji huyo ameeleza kutofurahishwa na ushindi wa bao 1-0 pekee waliopata dhidi ya Kagera Sugar, kwani walistahili kufunga mabao zaidi

"Nawapongeza wachezaji wangu kwani wamekuwa bora katika michezo yote mitatu iliyopita. Tunahitaji kuendeleza mafanikio haya mpaka mwishoni mwa msimu," amesema

"Tulistahili kupata ushindi mnono zaidi dhidi ya Kagera Sugar lakini ni kama tulijiadhibu wenyewe kwa kufunga bao moja tu ndani ya dakika 90 ambazo tungeweza kufunga mabao mengi"

"Tunapaswa kuendeleza hapa tulipofika mpaka March 18 ligi itakaposimama kupisha michuano ya CHAN"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’