Miquissone huyu mtu kwelikweli

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Feb 2020
Miquissone huyu mtu kwelikweli

Kiungo mshambuliaji Luis Miquissone alianza taratibu maisha yake kunako klabu ya Simba lakini sasa ameanza kuuwasha moto

Shoo aliyoipiga kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar ni ishara kuwa mwamba huyo aliyetokea klabu ya UD Songo ameanza kulizoea soka la Tanzania

Hawa ndio aina ya wachezaji ambao Simba inawahitaji kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao

Bila shaka mpaka kufikia mwishoni mwa msimu atakuwa ameiva sawasawa

Kocha Sven Vandenbroeck na Selemani Matola washindwe wenyewe tu, kwani wameletewa kisu kikali kinachoweza kukata hata mifupa!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’