FT : Simba 1-0 Kagera Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Feb 2020
FT : Simba 1-0 Kagera Sugar

Mabingwa wa nchi Simba leo wametakata uwanja wa Taifa baada ya kuichapa Kagera Sugar bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Bao pekee la ushindi kwa upande wa Simba lilifungwa Meddie Kagere kupitia mkwaju wa penati kwenye dakika ya 61 baada ya nahodha John Bocco kufanyiwa madhambi na mlinda lango Benedict Tinocco ndani ya eneo la hatari

Achana na ushindi huo, Simba leo ilikuwa bora sana, kocha Sven Vandenbroeck na vijana wake, wametimiza ahadi ya kuwapa burudani mashabiki

Ni mchezo ambao Simba ilikuwa bora sana, ilistahili kupata ushindi mnono zaidi

Ushindi huo umewafanya vinara hao wa ligi wafikishe alama 59, wakiongoza ligi kwa tofauti ya alama 15

Kwa hakika ni muujiza pekee ambao utaifanya Simba ikose ubingwa wa tatu mfululizo

Kandanda zuri, ushindi mujarabu, Simba hii haitakuwa rahisi kuizuia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’