Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Benki ya Equity wanaendelea na zoezi la kuwapatia mashabiki wa Simba kadi za ki-elektroniki ambazo zitawawezesha kupata huduma zote za kibenki
Moja ya faida ambayo mwenye kadi ya shabiki anapata ni pamoja na kupta huduma mbalimbali kwa bei pungufu
Ndio! kama una kadi ya shabiki jezi ya klabu ya Simba unaweza kuuziwa kwa bei pungufu ya hadi asilimia 15 kwenye maduka maalum yaliyoainishwa

ADVERTISE HERE