Sven aahidi burudani kwa mashabiki mechi dhidi ya Kagera Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Feb 2020
Sven aahidi burudani kwa mashabiki mechi dhidi ya Kagera Sugar

Mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck amesema vijana wake wako tayari kuwapa burudani mashabiki wao kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa leo kwenye uwanja wa Taifa

Mtanange huo unatarajiwa kupigwa saa moja usiku

Akizungumza baada ya mazoezi ya mwisho ya kikosi chake yaliyofanyika uwanja wa Mo Simba Arena, Sven alisema wamedhamiria kuendeleza wimbi la ushindi ili kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi

Amesema pamoja na kuhitaji ushindi, wamedhamiria kutandaza soka safi ili kuwapa burudani mashabiki wao

"Tumejiandaa vizuri na tunawahakikishia soka safi mashabiki wetu kwenye mchezo wetu. Wajitokeze kwa wingi uwanjani watuunge mkono," alisema Sven

Matokeo ya ushindi kwa mabingwa hao wa nchi leo yatawafanya waendelee kuchanja mbuga kuelekea ubingwa wa tatu mfululizo ligi kuu ya Tanzania Bara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’