Uongozi wa klabu ya Simba umewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wake kuchangia mawazo ya mabadiliko ya logo ya klabu hiyo ambayo wanakusudia kuyafanya hivi karibuni
Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba mapema leo, imewataka wadau kutuma maoni yao kupitia barua pepe logo@simbasc.co.tz

ADVERTISE HERE