Kanda apunguza idadi ya wachezaji majeruhi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Feb 2020
Kanda apunguza idadi ya wachezaji majeruhi

Mshambuliaji wa Simba Deo Kanda yuko tayari kurejea kikosini baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje kwa zaidi ya wiki nne

Kanda ameanza mazoezi na wachezaji wengine yakiwa ni maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Kagera Sugar hapo kesho

Mcongomani huyo amepunguza idadi ya wachezaji majeruhi sasa wakibaki watatu Miraji Athumani, Erasto Nyoni na Mzamiru Yassin ambao pia siku sio nyingi watarejea kikosini

Kanda aliumia kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliopigwa Januari 2020 kwenye uwanja wa Taifa

Kanda alipata majeraha baada ya kufunga bao kwenye mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’